Jeshi

By Harmonize

Released on August 11, 2020

7K Views

Thumbnail

Sometimes what you dream

Can be deceiving

Na huwezi kuvuna usichokipanda

Thanks God for giving

Ghetto sikuwa na umeme wala cable

Hizi moja T-Shirt na yebo

Ati leo namiliki lebo

Lebo, Konde Gang lebo

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!

Siku zote kisicho kuua

Kitakufanya uwe ngangari

Ata mwanga huwezi kumjua

So ishi nao kwa tahadhari

One love kwa wanangu wa Insta

Nyie ndo mnanunua CD

Two love kwa wanafiki wa Insta

Mnafanya niongeze bidii

Three love kwa mastaa

Zilifanya hasira zizidii

Four njia ngumu nilizopita

Mkanipa na jina mkasema niitwe (Jeshi!)

Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!

Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!

Mi naamini Mungu yupo tena

Naongea nae japo sisikii sauti yake

Nikianguka ntainuka tena

So usishangae why Tembo anahustle peke yake

Coz I know, unapokiokota

Ndo wakati wakukitunza

Ili kesho kisije potea

Na unaposota ndo wakati wa kujifunza

Ili ujue wapi ulipo upo

Sio kama siwezi kujibizana

Ila mwenzenu nimeumbwa na subira

Ona madili yanavyogogana

Coz nina nyota ya Libra

Siwaoni walotumwa kunitukana

Vichwa vyao kimya

Tena siku hizi siimbi sana

Wacha washindane na Ibrah

One love kwa wanangu wa Insta

Nyie ndo mnanunua CD

Two love kwa wanafiki wa Insta

Mnafanya niongeze bidii

Three love kwa mastaa

Zilifanya hasira zizidii

Four njia ngumu nilizopita

Mkanipa na jina mkasema niitwe (Jeshi!)

Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!

Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Konde boy Jeshi!, Jeshi!

Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!