Asante

By Ghafla

Released on July 23, 2020

Thumbnail

Intro (Ghafla)


Yeeah

Nashukuru kwa kila kitu ujue

Maisha ambayo tumeyapata au sio,watu..

A-city


Chorus (Ghafla)

G.H.A *3

Silaha yangu dua sio AK

G.H.A *3

Sasa najiskia nipo ok..ah

Navaa napendeza nina options

Asante kwa upendo muda wote

Ni mengi umenibariki haunichoki

Shukuru kwa uzima upo okay..ah


Verse 1 (Ghafla)

Asante kwa uzima Mungu dokta (Fundi)

Afya ni utajiri unaniponya

Sina bifu na yoyote niko poa

Na siku sina vocha nina watu inanitosha

Furaha ni kila kitu cheko hii.hii

Najua uwezo wangu sitaki kiki

Hakuna cha kudumu nipo home streest

Kikubwa umenibarikiwa ni mziki..eh

Nipo ghetto mtaa wa kati

Chakula cha manati

Na ndoto za uswazi ni tupate

Papa nipo fresh kabisa

Ninapotoka tupo live na maisha

Niite G.H.A a.k.a mara paap

Nionyeshe inavyochezwa ukinikuta nipo club

Kama nipo hai nitaifanya kwa mitaa

Upendo ubaki nguzo zima chuki leta furaha like yeaah..

Chorus (Ghafla)

G.H.A *3

Silaha yangu dua sio AK

G.H.A *3

Sasa najiskia nipo ok..ah

Navaa napendeza nina options

Asante kwa upendo muda wote

Ni mengi umenibariki haunichoki

Shukuru kwa uzima upo okay..ah


Verse 2 (Ghafla)

Niliwaomba japo chance wakaninyima chance

Sijakuomba mara nyingi ila ukanipa chance

Rafiki niliowaamini wakagеuka chatu

Hawakuwa kama wewe na haukuniacha katu

Kupambana pekе yako ujue inachosha

Kwenye msitu mnene ndo shujaa atapotoka

Hivyo sikuchoka

Baraka zinasambaa kila kona

Kila siku naziona

Na ninaona watu

Hii inanipa amani unaona shavu?

Unaona kwangu?

Nanyuka pamba kali kiroho safi

Saidia ninachoweza wanaohitaji

Sijala bata mashariki ya mbali

Ila sikufichi nina furaha isiyo kifani huku nyumbani

Msosi wa kusaza tunauwaza ila unakifu

Natoka uswahili ila utadhani mtoto wa chief

Tunaficha umaskini kwa unadhifu mtakatifu

Tunapika ngoma kali kila siku wanasadifu now wanasifu

Chorus (Ghafla)


G.H.A *3

Silaha yangu dua sio AK

G.H.A *3

Sasa najiskia nipo ok..ah

Navaa napendeza nina options

Asante kwa upendo muda wote

Ni mengi umenibariki haunichoki

Shukuru kwa uzima upo okay..ah


Outro (Ghafla)

Asante kwa uzima muda wote (G.H.A)

Asante kwa uzima muda wote(Dobe Pro)

Ni mengi umenibariki haunichoki(Mas classic)

Shukuru kwa uzima upo okay(Yung)

G.H.A *3

Asante kwa uzima muda wote

Ni mengi umenibariki haunichoki (ASANTE)

G.H.A