OG Lock

By Flashback Uno

Released on December 4, 2021

Thumbnail

Intro

Flashback

Uno uno

Mmh mmh …. Uno Uno

Lemarioo

CHORUS

Bizz na banja sahizi ni destiny poa na goals

Wapoa washows wapoa wamost wakuhost

Staki ma hessy makessi tu ni mahenessy ndio maana mi huseti

Nikiwa kizone ndom na shawrey mroast

Shawrey mclassic mnasty bado mcoast

Marochet manamblii kila place si hao ni maghost

Marealers huskiza flows kizone ki og lock

Verse 1

Mtaa ni mbana nane

Top laga kwa crimes tungequalify olympiks

Juggling furisha nundu ngusu

Design ya nywele su huchana kijingling

Baze ya jaba tupate mchana

Unasink ukisimp kirush hr

Ju masaa unaeza geuzwa mbeusis

High na rise like robin ju hio ndo hood

Manzi yako mlami anacheza na nyuki ye hupenda vako za ngisti

Talk abt ngisti washa kibiriti tuwake

Ka hujamanga huezi fight ni uchoose minji ama peace

CHORUS

Bizz na banja sahizi ni destiny poa na goals

Wapoa washows wapoa wamost wakuhost

Staki ma hessy makessi tu ni mahenеssy ndio maana mi huseti

Nikiwa kizone ndom na shawrey mroast

Shawrеy mclassic mnasty bado mcoast

Marochet manamblii kila place si hao ni maghost

Marealers huskiza flows kizone ki og lock

Verse 2

Mbaga na goons wote wanasaka mkwanja

Lawama kizuzu kurushwa rada

Ukicheki list huezi kosa snikers kickers

Bana si huball na realers pedlesrs

Mbichwas richguys nabado tukoshinguns

Usitutrace namblii utazamishwa backstreet

Si unadai ati unalengwa

We si agenda mbona usnitch

Hata ukue realer baze nmefika huezi kanyaga

Piga thafu uomke dress simple kirival

Skuizi nyi hubanja mi jony sins ju lazma kuimanga

Mi hupenda wet fatty fry

Mresh mi humwita honey ju tulipatana nanyuki

Atamkichuki bro mi schoki mi ntazidi kumchoke

Adi adai kusmoke na akimedi tunaingia mti honey

Results ni d kigangshit

Kigun drill drilling long then going missing