Tunavunja mifupa tukiskiza mapangala

Baraza ni ya mabazu madenge masafara

Vako za uchafuzi hadharani kimuhadhara

Leo huku kumoto huku rada mamudialala

Napiga ki Monster nikingoja ki litre

Harufu ya vela ficha na moshi ya shisha

Divai kwa glasi kama ibada kwa misa

Funga macho wale wanakunjana kwa giza

Hii side yetu ni kigoco

Mapinji wako wera mbaya sana chunga mbosho

Siku hizi shingo chafu vile goro ni za Congo

Uno Jadi kwenye santuri pinda mgongo

Wacha zitubambe nah nah nah

Mzuka zitupande nah nah nah

They like call me the wanna goer

Icy kwa glasi na hio ndogo

Wacha zitubambe nah nah nah

Mzuka zitupande nah nah nah

They like call me the wanna goer

Inama napinda mgongo, mgongo mgongo

Inama napinda mgongo, eeh mgongo

Inama napinda mgongo

Kama matiki mziki katika na udance to the rhythm

Basi enjoy vipolite vile night iko right feel feeling

Karibu kwenye penzi vile zimewai zimenishika kishenzi

Kwenye densi usiwe shy ka ni sensi tuseti

Kwenye densi, densi densi densi

Wacha zitubambe nah nah nah

Mzuka zitupande nah nah nah

They like call me the wanna goer

Icy kwa glasi na hio ndogo

Wacha zitubambe nah nah nah

Mzuka zitupande nah nah nah

They like call me the wanna goer

Inama napinda mgongo, mgongo mgongo

Inama napinda mgongo, eeh mgongo

Inama napinda mgongo

Zimenyc babe lemme tell yah

Now you know you rocking with the Donatella

Ain't nobody badder you can compare

Compare eeh

Na form imeshika basi fika na umati

Chance zikijipa basi jua mi sihati

Tamu give me fever baby ingilia kati

Ingili, ingili, ingilia kati

Na form imeshika basi fika na umati

Chance zikijipa basi jua mi sihati

Tamu give me fever baby ingilia kati

Ingili, ingili, ingilia kati

Wacha zitubambe nah nah nah

Mzuka zitupande nah nah nah

They like call me the wanna goer

Icy kwa glasi na hio ndogo

Wacha zitubambe nah nah nah

Mzuka zitupande nah nah nah

They like call me the wanna goer

Inama napinda mgongo, mgongo mgongo

Inama napinda mgongo, eeh mgongo

Inama napinda mgongo