Lockdown Freestyle

By Femi One

Thumbnail

Marapper hushinda wakiskia Kameme ma Sunday

Na mi niko studio daily ka Kamene na Andy

Wako na energy haitoshi kunikiss 100

Wanatry kubonga mbolea ndio wapande

Ila no how, I got the game on lockdown

I got the game on lockdown

Ila no how, I got the game on lockdown

I got the game on lockdown

So the other day, mi na Mejja dropped another jam

Another trend ka Mary Keitany I run the game

But then again nilichachisha ju ya hao madem

Waliget my track on blast waka whine their waist

Wakafire waist, wakafire wee

Ikasimamisha miti kama Mathai Wangare

Safe to say ka si curfew na Corona sai

Kwa club wangedance tu Uno bila Harmonize

Na vile now I'm on on evеrybody lips

Kama mask sahii vile Covid imehit

Too bad mahater hata timе ya ku-quarantine

Wako na nguvu ya kuhate si hii ni --

Cyber bullying ona saa yenye ilini-iritate

Kwanza girls that made me feel some type way

Ingesound so much sexier ku-congratulate

And lets be honest if you cool unge-imitate

Na nywele yellow kama ile suti ya Omollo

You let your body run kama pedi na koro yoh

So kamati ya roho chafu waki shit-talk

You get your money up na ma-follow kwa Tiktok

Na fame ni hard but is the drug that we be on

You think ni si tumeweka ngoma na video

Lakini sivyo we, uliza Simple Boy

Utahitaji uvumilivu shinda Pitson yoh

You got hate weka that on lockdown

Ka we ni mbleina put complaining on lockdown

Ladies move your body to the beat and drop down

Una do it mara ingine hata wakiku-talk down

It's only lame, hmm ku-body shame

Okwonko ana kitambi lakini all the same

Ye ndo niliuliza kama nikimpee

Ataweza kuniteka kama ndugu ya Cain

Kila kiungo ya mwili huduu kile inafaa kuduu

Coz I gave you one year bado mi nitakupa miguu

Shika shoulder ka unalia lakini haga zii

Hio ni ya kukalia marapper na mapicha kwa magazine

Mi huwaosha na bars, so pa kuwaanika ni huku

Hizi siku hatari cheki habari kwa mbulu

Mita moja tosha ila bora mbili na nusu

Mwezi moja tu na mshajaza mwili na kutu

Kwenda mochatha ni hatia

Nairobi pia mabara bara ni clear

Na vile kawaida huwa wakora kwa rodi

Mama anaibiwa kibeti na hakuna cha lo

Nakua uliona hashtag #ApartButNotAlone

Stay busy hapo home pika chapata ma corns

Tata chat on your phone, chora art, write a song

Ka ni blunt au mabong, au usiku kucha ka jong

Hmm ila jali jirani

Kushiba ye akilala njaa ni curse na kisirani

Na ugonjwa mbaya kushinda corona ni mi sijali

Ju sharing ni caring nani usiwe bani

I'm on my own league kama Caster now

Since I made a million views niko past mathao

Uno about to bounce but ma-shoutout nao

Mad love if my song ulipass around

Lockdown, lockdown!