Hepi

By Femi One

Released on June 17, 2022

Thumbnail

[Intro]

I like that

I like that

I like that

Recipe ya hepi

I like that

I like that

I like that

Kaka Empire, its a lifestyle


[Verse 1: Femi One]

Ukinibeba ufala nashuka haraka na jam

Juu nangojwa maskani sana kwa hamu na gham'

Kama we' si beshte damu mi siwezi kuita fam

Kuna minor kwa sherehe mshow anaitwa na mum

Juu masaa ni ya hepi, chunga masaa ni ya dhambi

I'll see what I can do na wababa wa vitambi

Kamkopo kalijipa basi leo si changi changi

Juu mixture ni ya Remy na pombe za Kariobangi

Hangover kesho itakuwa kaa ya watu wawili

Mara moja itabidi nimemeza mara mbili

Lakini haidhuru bora vako tuziseti

Picha tunachoma sana tu kwa sababu ya hepi


[Chorus]

Recipe ya hepi, hepi

Recipe ya hepi, hepi

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi

Hepi

Recipe ya hepi

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi


[Verse 2: Mbithi]

Brown girl amenenga kilamundu

Kile anadai ku-buy

Ite mike’yo vive ata mayai yaku fry

Kaaketa waka chathe kuneya musembu

Muya au kunatwili tonight

Ni mama brathe mkamba ma pose

Circle ili change naveveka na ma boss

Nikicome around si unajua how it goes

Mi si brag labda unikute meno niki floss, oh

Dakika mbili tumebonga one hour

Tume make El Niño na ma champagne showers

Tiba ya kuchapa si ni pesa ndio dawa

Siri ya kukaa fly si ni pesa ndio mabawa, oh


[Chorus]

Recipe ya hepi, hepi

Recipe ya hepi, hepi

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi

Hepi

Recipe ya hepi

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi


[Bridge]

I like that

I like that

I like that

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi


[Verse 3: King Kaka]

Niko na hanjam true story why lie

Nairobi mji wa free WiFi

Mkristo anameza divai

Mi ni hepi till I die

Tuko na who’s who, yaani nani nani

Tuna sele madesign ikiingia magizani

Uh, utanipata na boiz wangu

Unaishi Kikuyu, leo unalala Roysambu

Marashi tulishare ulimi major razor

Meza yangu mathree, I say "Beba Beba"

Friday tuko na Nameless na Non's

Remy, nyake na supu ya bones


[Chorus]

Recipe ya hepi, hepi

Recipe ya hepi, hepi

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi

Hepi

Recipe ya hepi

Maganji, washkaji, vinywaji

Ndio recipe ya hepi