Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

(Kaka Empire is the lifestyle)

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

(Bern Music)

We si beshte yangu nakujua tu

Walodhani wako fly si watatua tu

Madam shida huwezi nitatua tu

Hata mnipe mnazi bado dafu nitafua tu

Glass yangu ni mi na Weusi solo

Index one wenyu huku ni sawa na mono

Firstborn wenyu huku ni sawa na momo

Wanadai kiti kwa daku na hawajanawa mikono

Maana swapi hamkufunzwa adabu

Ulimwenzu ni funzo mi nilifunzwa na babu

Married to the game ka Simon na Sarah Kabu

Honeymoon ndani ya benki ndio mambo kistaarabu

Siku hizi nakula bata nadishi kwa silver platter

Shakira ama 31st bado nawakawaka

Small charter haijawahi babaisha top shatta

Cheki mizuka za kike jogoo zina maka maka (Uno)

Natikisa wavu kwenye kila mechi

Usishindane na Roro

Wanagonja mpira bado wako benchi

Usiniwaze they don't know

Natikisa wavu kwenye kila mechi

Usishindane na Roro

Wanagonja mpira bado wako benchi

Usiniwaze they don't know

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Zikipigwa sisi ndio husababisha

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Zikipigwa sisi ndio husababisha

Nyoa mkiki imego, Makini Joh

Mapeni flows biggеr than yours

Duru za kuaminika na break manyusi

Msilewe sifa itakulеni maujuzi

Somo linaeleweka sitaki mi loose

Sokoni nazipeleka ila tu siuzi

Romantic jo napotongoza michuzi

Ubao wa mabao haswamaje sahizi

Nawapiga mingi nyuma beki zimeluzi

Hizo rap mitumba peleka Gikomba

Sitawai ondoka so sinaga comeback

Suti tai na moca nikiweka throwback

Kila nikidondoka nitafridge ya wayback

ICU mkipumulia mipira mirija ya whack

Monkey see, monkey do

Style moja kama kauka nikuvae tu

Natikisa wavu kwenye kila mechi

Usishindane na Roro

Wanagonja mpira bado wako benchi

Usiniwaze they don't know

Natikisa wavu kwenye kila mechi

Usishindane na Roro

Wanagonja mpira bado wako benchi

Usiniwaze they don't know

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Zikipigwa sisi ndio husababisha

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Duru ni za kuaminika

Zikipigwa sisi ndio husababisha

Natikisa wavu kwenye kila mechi

Usishindane na Roro

Wanagonja mpira bado wako benchi

Usiniwaze they don't know

Natikisa wavu kwenye kila mechi

Usishindane na Roro

Wanagonja mpira bado wako benchi

Usiniwaze they don't know