Mbota

By Expluswhy

Released on July 20, 2021

Thumbnail

(Intro)

Its been a longtime na mafans huku nje wameitana

Expluswhy

(Verse 1)

Its been a longtime na mafans huku nje wameitana

Nimekam joh back to back

Juu najua lyrically niko blessed inshallah

Mbang'a si alikang'wa

Shots kwa scene si ilikuwa ni drama

Beef kwa streets imeleta lawama

Story za mbang'a ata Hessy alikang'wa

Hold up, hio ni intro ngojaa

Ngeus wako ataleft ukisota

Wrist ni mambota, look minapiga ni diriba niko icy kama glacier

Nimejam kwa hii track design ya Kanye West hizi bars ziko mad

New kid lyrically spoilt but still edible joh nyi msha expire eeih

Murder everyone,King Von alikang'wa inshallah (kang'waa)

Back then tuli buy shada sai tuko large scale tunazipandaga

Niko dripped ma ice si ni ma ngoto eeih mi hupenda ma ngeus wana utoto

Last time nili cut off dem ali try kunichomea mboto

Nima cash aah..i don't do chеcks ni ufala

Nimehepa mambang'a wee ni rookie plus nikistеp matanga tunakuzika

Aah nimejipin ndeng'a plus try kuni diss utagenya

Nyi ni ma fans na bado ma mbleina

Hii ngoma mta hate na bado mtapenda

Fans in denial OG ashasema

Niko kejani na ngeus anahema juu ni lipunda anakemba

Off course nilimteka kwa kesha

Lyrically blessed mi hu spit bila stress

Niki step kwa booth joh producer asha tense

Nina rep my crew affiliation blue

Kina Lowki The Great, tuko kigeng mabazuu

Gang signs ma youth, tuko na ngori na mambaru

Leta ngori kwa crew, ukuwe topic kwa news

Mi ni fire kwa booth, uliza Hobby bazuu

Ka una ngori bazuu niko na moshi bazuu

Hii ni ya warazi,ka wee ni mrazi

Itoka ina spark joh warazi wanabaki

Warazi mafala ndio huteka walami

Tuko mangwai, tuko makali

Mi ndio nliteka ule ngeus wa jirani

Nipate kwa bash niki supply mabangi

Contrabands zote nimeseti kwa parking

Badder than them joh hii ngoma si ni kali

(Outro)

Hio ni intro ngojaa, ngeus wako ataleft ukisotaa

Wrist ni mambota, look minapiga ni diriba niko icy kama glacier aah

Mbang'a si alikang'wa

Shots kwa scene si ilikuwa ni drama

Beef kwa streets imeleta lawama

Story za mbang'a ata Hessy alikang'wa

Hold up..hio ni intro ngojaa

Ngeus wako ata left ukisotaa

Ukisota