Released on January 22, 2025

Thumbnail

Mtu nako sikatai

Mbona anitext badmanners

Mbona nikose kureply

Na ananitext bad manners

Wakiuliza nini mi hufanya mi hujitepa

Anyday nina maganji mi hujitepa

Sa mbona nikudanganye jo

Ka niko na...

Shidangu ni ka niko paper

Na sina kitu ya kufanya

Mi hujichocha alafu naingia bar

Naingia bar na kujitepa

Zikishuka zinapanda

Balance bana ndo inamisbehave

Nikicheki mmh aah, mamu

Usiniite ndu, ndugu

Niite shitupu, puru

Nilishe tu kitam sa, sambu

Master wangu

Ka uko karibu kam kwa mguu

Niiite GSU tu rungu

Nimeivisha move ya sansu

Shidangu ni ka niko paper

Na sina kitu ya kufanya

Mi hujichocha alafu naingia bar

Naingia bar na kujitepa

Zikishuka zinapanda

Balance bana ndo inamisbehave

Nikicheki mmh aah, mmh aah

Thao bana imezama

Mmmh, zama, thao bana imedip

Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imezama

Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imedip

Bado si wife, hii maisha ashanipangia

Na bado kanaplan vile tu katanizalia

Nifanye nini na vile ni ka pretty pretty

Nikifika mtaa kanakuwa kashanivulia

Kunipikia na cladi kunianulia

Ata magenge nakwambia kananiimbia

Si ni ka jackpot nakwambia nimeangukia

Haka hamnigongei itabidi nimеshikilia

Si kila saa anataka kunikaribia

Na si ni sharp pia anataka kunipandisia

Figa imeweza nakwambia akiinama

Anapenda God mi nakwambia kamеbarikiwa

Wakiuliza nini mi hufanya, mi hujitepa

Anyday mi nina maganji ni kujitepa

Sa mbona nikudanganye bro

Ka niko na ganji na mi silali

Shidangu ni ka niko paper

Na sina kitu ya kufanya

Mi hujichocha alafu naingia bar

Naingia bar na kujitepa

Zikishuka zinapanda

Balance bana ndo inamisbehave

Nikicheki mmh aah, mmh aah

Thao bana imezama

Mmmh, zama, thao bana imedip

Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imezama

Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imedip

Navuta ngwai na niko kando ya kanisa

Meno ni mingi kuliko Fuliza Limit

Leo nakata chingi nabanjuka na machupa

Sitaki mutu leo mutu wangu aluta

Ka, ka sijatoka leo ni kaveve na gunga

Hatuko Runda lakini zimetaruka

The only thing privacy nyap ni kidney

Nanuka jasho nikisaka za marashi

Shidangu ni ka niko paper

Na sina kitu ya kufanya

Mi hujichocha alafu naingia bar

Naingia bar na kujitepa

Zikishuka zinapanda

Balance bana ndo inamisbehave

Nikicheki mmh aah, mmh aah

Thao bana imezama

Mmmh, zama, thao bana imedip

Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imezama

Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imedip

Mtu nako sikatai

Mbona anitext badmanners

Mbona nikose kureply

Na ananitext bad manners

Mtu nako sikatai

Mbona anitext badmanners

Mbona nikose kureply

Na ananitext bad manners