Released on September 2018

Thumbnail

[Intro;]

Wagwan… Kufisia alama jo kama mbeibe amebeba

Shika mkono ufikishe mpaka kwa keja

Kuta vitu mpaka jirani akateta

Wape wape wape wape…

[HOOK]

Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che

Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend

Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize

Wape wape wape wape…

Basi mbeibe Nipe saba ukiinama

Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama

Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama

Saba ukiinama

SWAT;Verse 1

Nikimdigi fiti nacheki jo amebeba

Niko macho kwake niko ma handas ketepa\

Chapanisha kuni ibaki mebeide amesepa

Ni madiva tu n aka we dimanga pereka

Hakuna kushare jo fisi akika ngorea

Top layer alaa a man a gyalis sorea

On air balance na ureverse orea Leo lazma katambe, orea orea

[HOOK]

Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che

Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend

Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize

Wape wape wape wape…

Basi mbeibe Nipe saba ukiinama

Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama

Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama

Saba ukiinamaSaba ukiinama , saba ukiinama

ZILLA;Verse 2

Cheki niko maji zimeshika juu wadhi

Dunda ni kudunda tunadunda mpaka di

Shika manzi fiti akikubali jo unaplead

Kama ni kumdigi ni kumdigi juu ya meza

Cheki na kamsupa kama ngwati nakata

Daily ni kusele ata mambanga kwa nganya

Msupa aki downtown akichochwa anapanada

Anasmama anarombosa kiuno haga kuwamurder

[HOOK]

Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che

Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend

Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize

Wape wape wape wape…

Basi mbeibe Nipe saba ukiinama

Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama

Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama

Saba ukiinama

SESKA;Verse 3

Ukiinama niko dryspell miezi kadhaa

Umejaza nyuma kama taxin ya wariaa

Kutu imejaa na siezi fika bei ya Samantha

Pia ukikaza mi nta ora ntadandia

Mi Natasha kina Flora na Maria

Ukirombosa mi na kosa Amani … aaa

Na kuna number ukichora ntapandia

Na kuta haraka hakuna doz na kwamilia