Released on August 6, 2018

11K Views

Thumbnail

[Intro]

Gyal new position

Everytime me I diggi


[Chorus: Rekless]

Na ikizima washa

Buda cheza na nare

Ati? (aah)

Buda! cheza na nare


[Verse 1: Zilla]

Shika jaba

Shika mtoto

Chini bablas (yeah)

Mpige munju kwani nini holla gyal a dance (yeah)

Ashike meza she akionanga ye ni double chance

Mamii mi ndio fisi si ka haunarada ....

Geuka niku bang (aah)

Geuka nikubang


[Hook]

New position (yeah)

New position (yeah)

New position

Gyal new position (yeah)


[Chorus: Rekles]

Na ikizima washa

Buda cheza na nare

Ati? (aah)

Buda! cheza na nare


[Verse 2: Swat]

Rada rada ni gani

Tuingie ndanee

Juu mi si bane

Mi najua uko horny

Janta ni janta joh

Doh ndo ina matter

Ganja farmer ni ya wale wajanja

Kushoto kulia wanachora namba sabaa

Wana, wanachora namba sabaa


[Verse 3: Mejja]

Shughlibagli shughli body (nden nden nden nden)

Nasema

Shughlibagli shughli body (nden nden nden)

(yeah)

Katika (yeah)

Ndondosa (yea)

Natty gyal (yeah) rombosa

Rombosa

Kila mtu rombosa

(eey Okwonko)


[Chorus: Rekless]

Na ikizima washa

Buda cheza na nare

Ati? (aah)

Buda! cheza na nare


[Hook]

New position (yeah)

New position (yeah)

New position

Gyal new position (yeah)


[Verse 4: Seska]

Hio kifuniko itoshee chupaa (chupaa)

Katikaa kaliaa haina mfupaa (mfupaa)

Paka rangi, toa kutu hii chumaa

Ci wezi ...kus nimeji pin chumaa

Piga style niziteke ka rumour (rumour)

Haiwezi wahi ikus nimeji pin chumaa


[Verse 5: Madtraxx]

(aah)

Mlango inabishiwa na watchman

Juu 1 hour unawika tu toshaa

Ushai guswa uskie tu kunyoraa?

Ushai guswa uskie tu kuogaa?

Bahati mbaya ukinipata juu ya handas

Kwanza nikichanganisha shadaa

Nipe


[Hook]

New position (yeah)

New position (yeah)

New position

Gyal new position (yeah)

Gyal new position (yeah)


[Outro]

Gyal new position (yeah)

Gyal new

Gyal new