Released on November 15, 2019

Thumbnail

[Chorus: Rekless]

Ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah

Maji maji aah

Zikishuka naona mi sijali sijali aah

Sijali ja

Cheki cheki ukinikata naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah

Ukinikata naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah


[Verse 1: Seska]

Unaleta nguna dunda na haujakafunga

Mi nakuchunia huyo nguna nafumba nadunga

Akitekwa na kabuda anachezewa rhumba

Baadae akule maspamo zimekuwa unga

Umeumbwa umeumbwa

Kama goks imefika sai mi huipepeta

Kwa nyumba na dildo nadeveva

Ju nimestunya kuliko ile imebebwa


[Chorus: Rekless]

Kata chwa niko maji maji aah

Maji maji aah

Zikishuka naona mi sijali sijali aah

Sijali ja

Ukinikata naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah

Ukinikata naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah


[Verse 2: SWAT]

Nakatakata dania naseti kwa kinyaru

Kachumbari raru ukimanga kina Nyambu

Naenda fisa fisa kipara kama Budha

Thutha nyuma shika ukuta

Tingiza maduba mdogo mdogo sina pupa

Hadi che aluta Mercy Njeri tu nutha

Kukata kutaka kukataa tu kwa bukla

Bukla bukla bukla


[Chorus: Rekless]

Ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah

Maji maji aah

Zikishuka naona mi sijali sijali aah

Sijali ja

Ukinitaka naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah

Ukinitaka naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah


[Verse 3: Zilla]

Msupa pika nikam kwako

Nikule pizza ndondo na mbosho

Mi ndo hukinda jaba kwa mkoko

Na hii chuma lazma iland kwako

Mi ni dinda nyang’anya ndondoka

Dididinda na nduve kwa ukuta

Na matinda na kiondo ni mogoka

Na matinda na kiondo ni mogoka


[Chorus: Rekless]

Ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah

Maji maji aah

Zikishuka naona mi sijali sijali aah

Sijali ja

Ukinitaka naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah

Ukinitaka naona mi staki taki aah

Sitaki sitaki aah