Luku Barida

By Ethic Entertainment

Thumbnail

Mi ni hard ka Fuliza okoa Jahazi

A normal siwezi entertain jo ujinga

Na ukijaa gas utapata ka niko na presha

Adisia das tuongeze ya kishasha

Mahuru fathe na unasweat na Arimis

Gangster fathe mi husweat na mariambez

Bazu piga shot moja ka kuku

Bazu digi luku luku luku

Hunnies money, money

My hunnies money hunnie

My hunnies money, money

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Diri diri diri diriba

Luku diri diri diriba

Fiti inanyc we do it with speed

Bumper fi mi head, temtema we feel

More disaster we bring pon di field

All the galdem tell them we di team

Wakitucheki kwenye game tunatesa

Na bado tuko mboka hii mwaka tunacheka

Kukinyesha na bado tunawateka

Ex condemn kwenye gang gang fyeka mmh

Hunnies money, money

My hunnies money hunnie

My hunnies money, money

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Diri diri diri diriba

Luku diri diri diriba

Napiga shot ka kamenje, photomoto ni ya kuchoma

Kiche ntokee scene,ibaki amegeuka ka kinyonga

Aty si ye,ka si we,then utadedia mbogi leo

Ibaki mistaken ju bado niko na mbogi ya afande yoh!!

Bloody scene maripota wasepe

Nashanda niamble nikishikisha na reggae

Itoka nditni ndo inasafishwa na rende

Kameme ni sisi tuna trendishwa na Genge

Lyrical war,beat ni sick na mi ndo Doc

Ukibishana na buda kwa keja itabidi umejitoa

Na murder beat vi easy beef kwa meal ni zi

Rastaman innerdi kill arif na weed weh!!

Hunnies money, money

My hunnies money hunnie

My hunnies money, money

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Diri diri diri diriba

Luku diri diri diriba

Money money hakuna tinga squad money

Anakutingas bad money

Its just money money

Wasee team say money money

Watu bizful money money

Watu info money money

Money matters for money

Hunnies money, money

My hunnies money hunnie

My hunnies money, money

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Ni look ni fashion

Msee look, msee fashion

Diri diri diri diriba

Luku diri diri diriba

Ni tadi dentist casper doctor server 1

Casper mameno nimeshika chini china'

Na roots za babusti

Niko underwater ka nyangumi ndani ya waba

Nina kanyamo kwa hii hood mi ndio papa

Nawakunywa mdogo mdogo yaani kama waba

Nafloss nina ganji naua ka corona

Kaa kwa hii kona wakuwe wanakuona

Babu ako reggea na shosho na bakora

Bro nakulola plan ya kupona

Hio nayo bonda sita kobole

Ukitaka mia ya kupiga mswaki, tanye ing'are

Nzi ikiingia kwa chai mwaga

Ikiingia kwa makali acha

Ukipatana na mbanga

Ukishada guza nanga

Akidai anusie vidole

Chokora mpee anusie shonde

Mtoke abaki anizee pole

Labda walegalise gode

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji

Mi hukata ndi ndi ndi nikiwa maji nikiwa maji