Chinja bata, kuku askie wivu

Tembea na darkskin

Darkskin ajimade

Chinja bata, kuku askie wivu, wivu

Banger, Banger

(Motif Di Don)

Alafu mwanaume mzima Instagram na mafilter

Unadai weave ama unadai hipster

Na siko sure ata kama jo unapata picha

Vako za kimanzi Shanikwa anadai feature ah

Si shida yangu bana hainihusu

Mbona niwagawe bana na ni nusu

Hii kikosi mbaya sana

Hatupendi hasara afadhali tukafungwe na mahabusu ah

Nimeanza sijamaliza

Fuaka pekee ndo mwangaza hapa kwa giza ah

Una swali sawa uliza

Kosa kubwa ni sidhani kama nitaskiza

Combination yaani Khali Motif bakize

Yaani burry body staminate

Ukitaka feature inadepend

Na mi sitakuficha imepanda bei

Cheki one time no, mi hudai more

Mi hudai biggy na si BIG G

Yaani haga jo, mataoo

Na naitaka tukikatika aaah

Ati taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Wacha urasta msupa uoshe vyombo

Geuza kiuno kwanza nikupe riba

Riba zaka na kiombitho

Mbitho za wa, wangwana

Nilipata nguna akaniita Kimondio

Sikufika Ronga ju niko dogogio

Kiasi kiasi compe nikapata nango

Wango akanirushia murambe kwa mbosho

Cheki one time no, mi hudai more

Mi hudai biggy na si BIG G

Yaani haga jo, mataoo

Na naitaka tukikatika aaah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah


[Khaligraph Jones]

Najua mbogi flani Eastlando makurutu waporaji

Breko huwa nduku na Konyagi (Iyee)

Na wakipiga nusu wako maji

Na wakipiga looku wako kazi

Watakupеremba mbosho mpaka za koti

Na ukizua watakunyanyua mpaka makofi

Hawa ni mangoki ukiwacheki kaa na makoti

Ju kama huna copy hepa ju zao ni jaba na njoti

Waliniеxpell before nimade Semester

Hio time nilikuwanga arif ya kina Seska

Hobby ilikuwa ni kukula mabibi

Washa moto tupoeze na chuma baridi

Na ka rada ni safi, nawachafua ka naichapa wazi

Sitaki paparazzi ndo wasinichomee kandarasi

Napiga marashi nishike mbathi mpaka Kimathi

Tukakate maji tuvute bangi na kina Mwangi

Vako tu hizo lines ni za kuchachisha

Kusema kweli sijai guza hata shisha

Anyways nadhani nishakafunga

Na ju mi ni baba yao nazitoka kiruhmba

Cheki one time no, mi hudai more

Mi hudai biggy na si BIG G

Yaani haga jo, mataoo

Na naitaka tukikatika aaah

Ati taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah

Taka tukikatika aah