Released on December 29, 2018

Thumbnail

Aah aaah… Aah aaah… Aah aaah

Aah ! Yeah aaah

Na sioni kosa msupa usitress

Kama roho inaitisha basi unipee

Najua we ni diva lazima ni spend

Ata ka ni mita mi sita burgain

Gain na sioni kosa msupa usitress

Kama roho inaitisha basi uiipee

Najua we ni diva lazima ni spend

Ata ka ni mita mi sita burgain


[Chorus]

Gain basi pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Yaani pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Yaani pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Naamkia niko insta

Msupa, nakusuka na unadinda, dinda

Vile diva wanachachisha, ita

Hapa nadhani ntalalisha chumaaa

Ona huyu ako dancefloor amebeba

Ona huyu ako jaba na mavela

Ona huyu kiunginyo nawakemba

Mshike kiuno kwanza twende dada blunder

Na sioni kosa msupa usitress

Kama roho inaitisha basi unipee

Najua we ni diva lazima ni spend

Ata ka ni mita mi sita burgain

Na sioni kosa msupa usitress

Kama roho inaitisha basi unipee

Najua we ni diva lazima ni spend

Ata ka ni mita mi sita burgain


[Chorus]

Gain basi pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Yaani pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Yaani pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Napenda sana hizo ma mmmhh mmmhh

Unanilenga na umevai looku tu

Unadai wifi keja na zuku tu

Naku dm walai unadai nugu duu

Ukipita ni ka wewe waacha juju

Boychild asharausha dudu juu

Sponsor asharausha jo dudu juu

Naku DM walai unadai nugu duu

Kemba toto ako fiti

Shikisha njugu na njiti (shh ssh )

Cheki bro washa shasha hadi moro (shh shh)

Bila ticha akuna shule kuja daro (mmmhh mmmhh)

Nyashnyash puff puff s(shh sshh) (mmmhh mmmhh)

Orosho piga shothol kuna giza (shh shh)

Zikinice tujinice uweke story(shh shh)

Kata maji pia shada legalize

Pale insta double tap

Na sioni kosa msupa usitress

Kama roho inaitisha basi unipee

Najua we ni diva lazima ni spend

Ata ka ni mita mi sita burgain

Gain na sioni kosa msupa usitress

Kama roho inaitisha basi uiipee

Najua we ni diva lazima ni spend

Ata ka ni mita mi sita burgain


[Chorus]

Gain basi pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Yaani pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm

Yaani pale instagram bey

Vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm