Cheki baby uko juu sana

Admission ni ka newcomer

Na ka jo ni kupenda mara few sana

Come uone venye mi hufanya

Come uone venye mi hufanya

Come uone venye mi hufanya

Na ka jo ni kupenda mara few sana

Come uone venye mi hufanya

Ye ni newcomer mode amemweka deski

Ni siku ya kwanza na ashakuwa bestie

Niko jo kwa lesson na ananiguza deki

Wiki haijaisha ako kwangu amebleki

Tukuwa close kama putha na ukuta

Nnje kuna njeve we unacheza na mafuta

Naеza kuwa kidale na kesho upate shuksha

Hivo kila siku huwеzi kuwa same

Mi hukaa nina kichaa after kuona figa

Kwanza hapo ndani ya buibui

Afande ka ni diva na amebeba silaha

Mi haki ya nani hainistui

Siezi hadi jo deny

Nakuja ka unanidai

Shida ni nyumba siijui

Rapper na anajidai

Rapper nakuibia rhyme

Mbona ju mi ni mrui

Cheki baby uko juu sana

Admission tu ka ya newcomer

Na ka jo ni kupenda mara few sana

Come uone venye mi hufanya

Come uone venye mi hufanya

Come uone venye mi hufanya

Na ka jo ni kupenda mara few sana

Come uone venye mi hufanya

Nakupenda penda sana tena times 2

Hio figa ndani ya buibui ina ni whoo

Ata ukibebanga grenade bado inani ni who

Umeumbwa ukaumbika design ya kidungi

Bila pesa niko insecure

Baby hadi mtu wa mtura namshukungu daily

No wonder utanipata pata nakopa daily

Ndo nikubambe, baby ndo nikubambe

Baby ndo nikubambe

Cheki baby uko juu sana

Admission tu ka ya newcomer

Na ka jo ni kupenda mara few sana

Come uone venye mi hufanya

Come uone venye mi hufanya

Come uone venye mi hufanya

Na ka jo ni kupenda mara few sana

Come uone venye mi hufanya

Sina sheng ya msichana

Una udranya gani inabamba

Yangu ni ndranya

Leta utoto nijigeuze fafa

Nikubuyie pamper na nilete

Jua kijana anaweza kuwa msichana

Usiite wavulana pekee mavijana

Nakia birthcert unawekewa na matha

Na unajidai gangster