Dondoka, dondoka, dondoka

(It's Amado on the Beat)

Dondoka, dondoka, dondoka

(Motif Di Don)

Na nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Na ikichapa jo nadondoka eey

Dondoka dondoka eey

Dondoka eey

Dondoka, dondoka eey

Yeah na asante ya punda ona mateke

Nikikuna utaumoja nastete

Waveve ndo zikigondi nisikaokote

Wadebee ndo hizo diaba zitokote

Anadai kuona sijui ati abonge matope

Anadai ndizi na hapa ndakas ni matoke

Si kam fast mi mslow naenda ka kobe

Mangeus siku hizi wanaball kuliko mapromo

Na nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Na ikichapa jo nadondoka eey

Dondoka dondoka eey

Dondoka eey

Dondoka, dondoka eey

Skiza kuna toto na amebeba

Jegi ndani ya bukla zitatesa

Vile kanakata katatepa

Ngwaa sito na kwa jiko katatendwa

Bruh kulikujagwa na stingo ikatubamba

Bruh tukapatangwa ma dwanzi anatubamba

Akatupanga Njoki anapatiananga

Ata makasee aliwapatiananga

Na nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Na ikichapa jo nadondoka eey

Dondoka dondoka eey

Dondoka eey

Dondoka, dondoka eey

Kana za kipasapasa vako za matindi

Seti napokatapanda vako za maringi

Kanapiga shot naacha alama ya kidi

Leo utapiga noise daro ata ka ni piri

We ukipiga noise natakapa piri

Atakuta mao double maithaa ya P.E

Najua umeiva jo ka kinyaru

Na ass umebeba jo ka kinyaru

Na nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Nikipata naipima pima

Naipanda nalima

Na ikichapa jo nadondoka eey

Dondoka dondoka eey

Dondoka eey

Dondoka, dondoka eey