Released on May 29, 2020

Thumbnail

Hacker hacker hacker hacker hacker hacker Hacker Hacker

Mongi Records

Diz Criss Beats

Huishiwi Kinacho Nihusu Kila Upitapo Habari

Wewe Ndio Msomaji ukipost mtandaoni Hakuna Amani

Embu Samahani , Nipe Chance Nifanye Ninayostahili

Heshima yangu Usiivunje Nyumbani Wazazi Wananiamini

Mipango ya Kunigombanisha Page Umeidesign

Blog Hadi Website Upo Ladhi Ulipie Nipigwe Faini, Shuwaini

Umenihack , Password Kakupa Nani?

Unapost Matusi Nikipita Mtaani Naonekana Shuwaini

Ok.! Nikikunyaka Adhabu Unayostahili ni Zaidi Ya Ugaidi

Muziki Siachi Najua Unanifanyia Visa Ili Nighaili

Usiku Silali Naandika Mistari

Ionekane Dhahili Kutusua Nimepiga Sign

Game Naimudu Hata Wanifanyie Vurugu Ama Wanihujumu

Hapa Kazi tu, Mpaka Waseme Nina Gugu

Wakinidis Nageuka Bubu, Nawatembezea Dudu

Mtoto Yake Nepi, Uh.! SANCHOKA Yake Nundu Wow.!

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Kaa Sikiliza Huu Waraka “Hacker”

Hapa Somo Utalipata “Hacker”

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Kaa Sikiliza Huu Waraka “Hacker”

Hapa Somo Utalipata “Hacker”

Haters Ingia Kapuni

Hauna Mpango Mbinu Unazibuni Against me

Failures, Toka Ubavuni

Hauna Mpango Mbinu Unazibuni Agaisnt Me

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Kaa Sikiliza Huu Waraka “Hacker”

Hapa Somo Utalipata “Hacker”

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Hacker hacker hacker hacker “Hacker”

Kaa Sikiliza Huu Waraka “Hacker”

Hapa Somo Utalipata “Hacker”

Najiulizaga Ivi Kwanini Niue Sisimizi Kwa Nyundo

Ila Inanibidi Because Mmezidi Kunipakazia Uvundo

Story ZinazoNihusu Kwa Store Zenu zipo Rundo

Na Hii Sauti Itagonga Mbali Hata UUifunikie Kwa Nyungo

Kawape Wenzako Habari Wakubali Kuwa Mi ni Hodari

Mvuna Asali Bila Nyavu Na Kama Sijapata Silali

Mkosesha Amani wa Vijino Pembe Mtaani

Muajiri wa Makarani Wa Siri Bora Ujihami You failure

Hesabu Inayowahusu Ipo Mezani

Na Nikianza Kuwateketeza Siachi Mabaki Yenu Hasirani

Nyanyueni Nyuso Muone Nyota ya Ebebé Angani

Na Hakuna Wa Kuweza Izima Labda Aamue Manani

Alienileta Dudiani Ndio ataenitoa Uwanjani

Laa Sivyo Jaburani Gambani Mtaenda Kuokotea Kimyani

Kusema Siwezekani Ndio Kilichowakwama Kinywani

Kusimama Nitapo Dondoka Ndio Ndoto Zenu Kichwani Hah.!