Released on November 14, 2011

Thumbnail

[Intro]

A-A-A, AM Records


[Chorus]

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe

Ili nipunguze mawazo

Mana!

Mchana kutwa hata usiku silali

Mapenzi kwangu kikwazo

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe

Ili nipunguze mawazo

Mara!

Mchana kutwa hata usiku silali

Mapenzi kwangu kikwazo


[Verse 1]

Ah!

Sikujua mapenzi bala

Tena ni maradhi ya moyo kupendaga

Tena mapenzi karaha

Yanajenga chuki na choyo kwenye cover

Utu wangu na thamani

Ina mana kweli hakuvijua

Licha ya burudani

Ya mapenzi yangu akatimua

Utu wangu na thamani

Ina mana kweli hakuvijua

Uhuni jaa burudani mtani

Kaamua kutimua inaniuma sana


[Chorus]

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe

Ili nipunguze mawazo (mmh mawazo)

Mana!

Mchana kutwa hata usiku silali

Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe

Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)

Mara!

Mchana kutwa hata usiku silali

Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)


[Refrain]

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo


[Verse 2]

Yule jini kisirani kainiga

Kwenye utamu wa penzi langu

Ameleta tafarani naumia

Naila na moyo wangu

Ona jini kisirani kaingia

Kwenye utamu wa penzi langu

Ameleta tafarani

Mwenzenu naila na moyo wangu

Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ni naumia

Kweli wapendanao ndio madui zikitimia

Lile tinga langu la maraha

Leo limekuwa sumu kwangu

Oh na tena sina raha

Ninacheka nalia na moyo wangu


[Chorus]

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe

Ili nipunguze mawazo

Mana!

Mchana kutwa hata usiku silali

Mapenzi kwangu kikwazo

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe

Ili nipunguze mawazo

Mara!

Mchana kutwa hata usiku silali

Mapenzi kwangu kikwazo


[Refrain]

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

Ubongo unapata mawazo


[Reprise]

Utu wangu na thamani

Ina mana kweli hakuvijua

Licha ya burudani

Ya mapenzi yangu akatimua

Utu wangu na thamani

Ina mana kweli hakuvijua

Licha ya burudani

Ya mapenzi yangu akatimua