Released on December 24, 2020

Thumbnail

I'm looking for my money, money where you are

Sijalala nyumbani money on my mind

Nyakati za mtaani money where you are?

Where you are? Where you are? eeh

Roho safi, low cut, nywele si akili

Ficha white si tunapinduka mtaa wa pili

Kahawa ndo nakaa kitako nasubiri

Ukitaka nafasi ukitaka power go and get it

Kaka mgongo hupati labda nikupe katika

Nishazoea kupanda watu kama majukwaa

It doesn't matter where you from

It doesn't matter who you are

Kubali kataa ubao hauandikwi kwa mkaa

Nakwambia we kama je alivyoniambia mimi

Lazima machozi jasho na damu mwilini

Usiwaamini watakwambia hauwezi kuwini

Ng'ombe masikini nini nini huwezi kutoka chini

Eeeh eeh sio size yao

Eeeh eeh sisi sio size yao

Eeeh eeh sio size yao

Wameshajua sisi sio size yao

Oooh ooh sio size yao

Oooh ooh sio size yao

Oooh ooh sio size yao

Wameshajua sisi sio size yao

Kuzaliwa Ngare Naro tu yenyewe baro

Nimekuzwa na ugali kachumbari masala

Natoka mtaani dirisha pembeni mtaro

Mafekeshe ndo wamefanya nikaitwa Njanjaro

Weka distance mi nawe hatufanani

Usifanye mistake, mi nawe hatujuani

It doesn't make sense hainiingii kichwani

Why you hate man? Unataka nifeli njiani

I'm a badman toka Dogo Dogo

Sekunde mtu sekunde Mbogo Mbogo

Kufika hapa sio kazi ndogo ndogo

Ukitaka kuacha kapa kakuwa fogo fogo

Eeeh eeh sio size yao

Eeeh eeh sisi sio size yao

Eeeh eeh sio size yao

Wameshajua sisi sio size yao

Oooh ooh sio size yao

Oooh ooh sio size yao

Oooh ooh sio size yao

Wameshajua sisi sio size yao

Najua nimetoka wapi

I've been struggling for my life eeh

If I never take chances

Nothing gonna change in my life eeh

Najua nimetoka wapi

I've been struggling for my life eeh

If I never take chances

Nothing gonna change in my life eeh

(Touch Touch)

Classic Music