Released on December 24, 2020

5K Views

Thumbnail

[Chorus: Marioo]

Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba

Siku nikienda kulala nitaota mapenzi

Ukisikia naenda, nafura najiimbia

Kama ukisikia naimba naimba mapenzi

Ukiniona nalia, nifute machozi

Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah


[Darassa]

Nilishafanya vi ujanja ujanja vya kubuni

Kaisoma namba kwa Kiroom

Kujichanga changa mpaka mbuni

Na kumbe najichanja chanja kama kuni

Nitafute wapi nakosea step

Labda nivae fashion nijenge shape

Mwishoni I start to doubt myself

Siwezi kuogelea ya maji marefu

Ndio maana bado nakuwa na kiwewe

Maswali najiuliza mwenyewe

Nasema nitapata wangu je ni wewe?

Naona unaweke kifaranga na mwewe

Mapenzi yanataka uyape respect

Commitment assuarance

Mapenzi sio kitu kama pesa ya bеnki

Umpe bunduki mlinzi akutetee


[Chorus: Marioo]

Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba

Siku nikiеnda kulala nitaota mapenzi

Ukisikia naenda, nafura najiimbia

Kama ukisikia naimba naimba mapenzi

Ukiniona nalia, nifute machozi

Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah


[Nandy + (Darassa)]

Mi nina roho na moyo

Ndani sio wa chuma roboti

So nahitaji furaha amani

Ya upendo ndo nipate comfort

Nimetafuta tafuta njiani

Mtu wako mwamina wokoti

Can I count on you, baby?

Won't you give me your loyalty loyalty yeea

Marafiki zangu wakikutaka utasemaje?

(Namwambia "please, respect yourself")

Na kama napata utachezwa itakuwaje?

(I will run for you baby when you need my help)

Mapenzi yanataka uyape respect

Commitment assuarance

Mapenzi, yeah


[Chorus: Marioo]

Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba

Siku nikienda kulala nitaota mapenzi

Ukisikia naenda, nafura najiimbia

Kama ukisikia naimba naimba mapenzi

Ukiniona nalia, nifute machozi

Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah