Released on December 24, 2020

Thumbnail

Najua kuna watu inawatoa kwenye mood

Kuona nafanya vitu

And they told me that I could

They told me that I lost my way nimeshaboo

Na nimefika sehemu ingekuwaje ningerudi

Cheki news ukienda mtaani watu commenti

Darassa mtu mbaya kanyaga anaacha damage

Watu wanahitaji mziki una energy

Kinywaji cha kuburudisha na unapata knowledge

Mziki una visa kama ndoa ya mgumba

Kama una moyo mdogo unaweza ukakuvunja vunja

Nakula yangu usiku mchana Mungu ananichunga

Hata singekuwa hii fani bado ungesakata rhumba

Street hubishi, kwani vipi hunitishi

Push mpaka maandishi, mwisho wa movie mazishi

Get rich or die trying what you wanna make a wish

Mchawi anachezesha dishi bado vita na wanafiki

Sata chaji kwenye moyo kupata ganzi

Kuishi na binadamu tu yenywewe ni kazi

Sijui ingekuwaje kama singecheza smart

This mothefcker lifе I've been so much yoh

Walisema I'm just wasting my time

Wakasеma I'm gonna loose my mind

Hawakujua nakokwenda, kufanya nachopenda

I don't stop till I die

And if you feel what I feel, put your hands up

Uko juu, uli kwa chini, put your hands up

Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda

Don't stop eh eh eh

Mama ananipenda, mama ananicare

Alianza kunibeba akanifunza kutembea

Unajua nakotokea? Hujui potea

Heka heka kila siku mtu ampigie

Every now day ni macho yangu au am confused

Niseme uwashe TV nione kitu naona makuzi

Kwenye radio hakuna nyimbo watu wanapiga miluzi

Hakuna habari

Wengine wanabweka bweka

Kumbemikwa ana mbuzi

It's enough kaa kwenye line yako bana tafadhali

Hebu hebu huku usije wengu wengu

Ukanitia uvengu vengu

Na wenzako mnataniana mkaleteana ukibwendu

Nini nini maana eeh eeh nini hembu

Mpelekee mashuzi mtu aliyekulisha ndengu

Chimbu chimbu na madini chimbua

Mi mwenye kipindupindu ukipinda napindua

Napindua, napindua

Walisema I'm just wasting my time

Wakasema I'm gonna loose my mind

Hawakujua nakokwenda, kufanya nachopenda

I don't stop till I die

And if you feel what I feel, put your hands up

Uko juu, uli kwa chini, put your hands up

Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda

Don't stop eh eh eh

And if you feel what I feel, put your hands up

Uko juu, uli kwa chini, put your hands up

Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda

Don't stop eh eh eh