Released on December 24, 2020

Thumbnail

Nakuwaga kimya miwani kimya ucap

Kuongea na mjinga better I talk to myself

Nishaogelea maji mafupi marefu

Nishagongea mlangoni kwako I need help

Nyumba nayo kaa magari nayoendesha

Nasaidia watu na watoto nasomesha

Custom made suit nashonesha

Nalipa bills zangu na naishi bila presha

Na kama unataka kunichimba chimba

Mara sijui anatinga anavimba

Anaringa go ahead sema uwongo

Shida mwanaume unakuwa na wivu na uchungu wa mimba

Nashukuru bado kunakucha freshi

Hakuna noma hakuna stress

Nashukuru bado kunakucha freshi

Just wanna thank God for blessing

Huyo nilivyo once I say

Nashukuru God baba anabless, anabless anabless

Amenipa nafasi ye

Nashukuru God baba anabless, anabless anabless

Nimetoka pabaya

Mpaka na kufika na maisha haya

Nimetoka pabaya

Tunabang bang hatunaga baya iyee

Vitu nimepitia, vitu nimesikia

Vitu nimeona

Vile vitu nimepitia, vitu nimesikia

Vitu nimeona

Sometimes nakuwa bahati kupona

Maisha ya kugombania mpira wa kona

Rеmember back in the day ilikuwa noma

Hata nguo ikichanika unashindwa kwеnda kushona

Kuonekana sehemu nishai

Kuwapa "Hi" mademu ni dry

Now my name is up in the sky

I know you hater hamwezi kufurahi

Nashukuru bado kunakucha freshi

Hakuna noma hakuna stress

Nashukuru bado kunakucha freshi

Just wanna thank God for blessing

Huyo nilivyo once I say

Nashukuru God baba anabless, anabless anabless

Amenipa nafasi ye

Nashukuru God baba anabless, anabless anabless

Nimetoka pabaya

Mpaka na kufika na maisha haya

Nimetoka pabaya

Tunabang bang hatunaga baya iyee

Eyoo classic, they call me Touch

Nothing but the best

Don't fake, don't hate

Go count your blessings