Today

By Coll!e cln

Released on February 1, 2025

Thumbnail

Keen kala,Keen kala,Keen kala

Picky ponky na Keen kala

Keen kala,Keen kala,Keen kala

It`s cold

Success is chasing us

But I know we can’t run away

I’m never gonna run away coz

Yes it’s you and I

So I’ll look into its eyes…

Coz nimekalia mawe

Sina pesa nimekalia mawe

Nasaka pesa ndio nitulie nawe

Nimake it big nifurahie nawe yeye

Mnnh nimekwamana

Niko kwa fix nimekwama na

Back home me na kwamua mum

So inabidi nimeomba man

Oh…..

Saa hii hakujabadilika

Bado naaminia

Kutabadilika

I believe

Bado ninajituma

Nangoja miujiza

Mambo itabadilika

Kile nafaa kufanya nitaifanya today

Sitangoja kesho

Bado ninauwezo …

Kama ni pesa nataka me nitaisaka today

Sitangoja kesho

Bado nina uwezo…

Oh…

Hi collie