Shera

By Coll!e cln

Released on November 20, 2024

Thumbnail

Yayo

Its cold

My nigga My nigga

Tunazoza my nigga

Niko bukla me na mbogi

Tunazoza my nigga

My nigga my nigga

Tulisare maniggas hao madem wanatufuata hatuwataki my nigga

Tuko masherehe shera… sherehe shera… sherehe shera… sherehe shera.. sherehe shera..

Mnhh

Badness

Huwaga badness

Huwaga mbaya mbaya man huwaga badness

Huwaga faya gwan waking’ang’ana nafiness

Ni faya mbaya bado wananiacha nikiflex

Na mgala anaka poa na mgala anakam slower

Ananisetia anafanya ninakamu slower

Vile ninagotha ninagotha ninagotha tena gotha tena na sigothi slower

Morio hana doh, Morio hana doh

Morioh hana cash, Morio hana doh

Morio ni mang’aa, Morio atie roho

Morio hana uradi anadandiaga form

Chuniaga doh (x8)

Huh

Chuniaga doh (x8)

Sherehe shera…..

Mapangale niko zanabe vile tunazitoka kimapangalale

Bado zinashika niko jabale, Mahandale mahandale

Hizi ni big vybz za mahandale, Vile zimenice ni mahandale

Yo zangu zimeshika kimahandale

Mahandale yo

So nakeep it on do lo, Kick it on do low

Ukichoma scene unakeep it on do low

Kama ni vurugu hatukeep it on do low

Zikishika sana unaweza piga ndombolo

Side stick ukikinga sidomolo

Unaweza pigwa ukileta mdomo mob

Hizi streets tunairun na vitu mob

Mapangale mapangale

Tuko baze na veve inaweza

Na tukona mngazi ju ya meza

Kama una chuki unaimeza

Kama ukona wivu unasema

Sitishiki na siblinkingi

Mabling bigi kwa wrist ni masling mingi

Ni linkingi na form za madoh mingi

Huna uradi calls zako mimi sishikingi

Simsima

I got the keys to mama pima

Gin mzima mix na mitungi za muratina

Nkizima niko waba kama kisima

Nkizoza nawachanga scene mzima eyy

Me ni man ah bad you don’t wast me a time

Nikikam ka nimejam you should pay me to smile

Nikiona pombe kuna vile me hufurahi

Nkichase na shada kuna vile huninice

Mimi ni star ninalive hio life

Vile ninafeel you should pay me to smile

Vile ninalive issa badda man bad

Nikiseti hio shada is another gwan fam yo

Is another gwan fam yo … yayo…

Huwaga bad …

My nigga My nigga

Tunazoza my nigga

Niko bukla me na mbogi

Tunazoza my nigga