HATUFORCE IT

By Coll!e cln

Thumbnail

You know what I mean,,, its collie in this yea..

Yayo!

It’s cold

Intro Mumbles…

Mbogi ni dead na ni deadly

Manze hatuforce it

Mnhh Halo

Manze hatuboast it

Pull up in a scene

My niggas hauwakosi

Manze hatupost cheki

Manze hamtutoshi

Drip clean safi cheki

Manze hatuforce it

(Manze hatuforce…. x4) x2

Manze hatuforce

Hii ni masaa ya pedi ayo

Usizime shada ju ya fegi steyo

Tinga linga ling tushabreak it player

Masaa niya Gz cheki masaa niya tings

Masaa ni ya chase yani masaa niya Biz

Masaa ni ya blings cheki masaa ni ya chings

Masaa ni ya mbleina masaa ni ya sins

Masaa ni ya huha!! Masaaa ni ya kuwacha

Scene shakahola

Manz alifallout alipigwa na wakora

Tunafanya biz na currency ni madollars

Everybody has to make a wish

Everybody wants to be a wish controller

Utachekeshwa na mbogi ukiwa baller

Unakosaga morio ukifall out

Issa badder ting issa badder dan

Vile me namalizanga beats

Gang ni ya mabeast ukituangalia

Fala amebaki akilia?

Get a free love wallet ikiumia

Denge akikukaribia

You can’t get enough kile ninatumia!

Veveka na macadamia

Napiga macup na soup ya ngamia

Ninabang speakers na mahits ukiskia

Mbogi ni dead na ni deadly

Manze hatuforce it

Mnhh Halo

Manze hatuboast it

Pull up in a scene

My niggas hauwakosi

Manze hatupost cheki

Manze hamtutoshi

Drip clean safi cheki

Manze hatuforce it

(Manze hatuforce…. x4) x2