Kipofu

By Chege

Released on August 14, 2024

Thumbnail

[Intro]

Yo!

Check it out, yo

Oh, oh

(Ma-Feeling Make It)


[Verse 1: Chege]

Amenijaa na makopa

Amesusa, amenipa vya kushoto

Mlima, ma wa lushoto

Nauona mi nasimama dede, mh

Napendwa mpaka naogopa

Haki ya Mungu ili penzi la moto

Nabembelezwa kama mtoto

Hadi naimbaga, 'mama nibebe

Oh, ooh, oh, ooh, oh


[Hook: Chege]

Anipaga raha za Pwani

Ye mwenyeji wa visiwani

Nikiwaga naye mwandani

Mapenzi raha burudani


[Pre-Chorus: Chege]

Kama naumwa Malaria

Homa yangu ni kali

Kama dawa 'dozi ghali

Mama yangu 'dozi ghali

Yaani wewe wa pekee

Mambo mengine we usiongezee, eh

Mwenyewe si unaona?

Joto limepanda digrii


[Chorus: Alikiba]

Mi sioni, oni, oh (Aah, aah, aah)

Mi sioni, eh (Aah, aah)

Kipofu kabisa (Aah, aah, aah)

Napapasa (Aah, aah)

Natapatapa (Aah, aah, aah)

Mi naona raha (Aah, aah)

Sioni mwenzio, oh (Aah, aah, aah)

Na mniache (Aah, aah)

Aaah, aaah, aaah

Aaah, aaah, aaah

Aaah, aah


[Verse 3: Alikiba]

Hata kama mapenzi ni ujuzi

Nafsi yangu kanakana

Nikilala nitaambulia mashuzi

Naona ka itashindikana

Bora sasa nifanye mazoezi

Niende sawa na vijana

Nijiepushe kupatwa na uchizi

Waja wakaninyang'anya

Mbele sioni, na masikio nimeziba

Nyie hamjui, anachonipa kinanifaa

Kunitoa pangoni, kwa sauti yake ya kupendeza

Vya kulala havilaliki, mpaka tunamaliza


[Hook: Alikiba]

Kama naumwa Malaria

Homa yangu ni kali

Kama dawa 'dozi ghali

Mama yangu 'dozi ghali

Kwani we ndio wa pekee

Mambo mengine we usiongezee, eh

Mwenyewe si unaona?

Joto limepanda digrii


[Chorus: Alikiba]

Mi sioni, oni, oh (Aah, aah, aah)

Mi sioni, eh (Aah, aah)

Kipofu kabisa (Aah, aah, aah)

Napapasa (Aah, aah)

Natapatapa (Aah, aah, aah)

Mi naona raha (Aah, aah)

Sioni mwenzio, oh (Aah, aah, aah)

Na mniache, eh(Aah, aah)

Aaah, aaah, aaah

[Outro: Chege & Alikiba]

Aaah, aaah, aaah

Aaah, aah

Oh, ooh, oh

Anipaga raha za Pwani

Ye mwenyeji wa visiwani

Nikiwaga naye mwandani

Mapenzi raha burudani

Anipaga raha za Pwani

Ye mwenyeji wa visiwani

Visiwani, oni, yeah

Nikiwaga naye mwandani

Kipofu kabisa

Mapenzi raha burudani

Natapata

(The Mix Killer)