Released on August 9, 2024

Thumbnail

Kile uliambiwa ni kweli, mi hushindanga sherehe on a daily

Ndio maana introverts hawanipendi, Kujibonga ndio inaleta wasupa wengi, ooh

Wananiita pappito pappito, mastingo mastingo ni za kimanengo

Natoka klabu wa mwisho wa mwisho, kwa mfuko ni zero lawama ni ya kesho

El capitan, unapenda usherati na warembo mali sa (na warembo mali safi)

Yes, mwili imechoka, lakini bado ninagotha (bado nagotha)

Anarombosa, ni mi nawashow hana ngotha (hana ngotha)

Ni dem wa Umoja, na ameomoka

Si tuko mavitu, na tunazoza

Washa kishada, kama uko nervous

Toanga kijaba, usije lala

Kuna walevi wamekuja wamenyanya

Akina dada wanataka biringanya

Ndio sherehe imeanza, ndio sherehe imeanza

Kwa sherehe utatupata, kwa sherehe utatupata

Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh

Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh

Tukifika kwenye party, statemеnt ya kifahari

Marashi za bei hali, dior na maversace

Chini piga nikеy (let's do it), na pamba safi

Wrist na shingo ziwe icy, sub-zero fatality

Ehh, ndio kumalo ndio kudonjo kwenye sheree

Style ni deadly deadly kila mtu na mbeibe

Dj ongeza tena speaker ziheme, watu wacheze

Kuna Rambo na Ndiambo, we shika wako

Kila mtu Obrigado, Kuma thum ochopo ko’wamiela miela nyere

Kineno ka iro dung mano koro iriembo jochiende eeeeeh

Kodong kodong

Eeeeh

Ko ko kodong

Washa kishada, kama uko nervous

Toanga kijaba, usije lala

Kuna walevi wamekuja wamenyanya

Akina dada wanataka biringanya

Ndio sherehe imeanza, ndio sherehe imeanza

Kwa sherehe utatupata, kwa sherehe utatupata

Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh

Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh, Ahh ahh