Cheda

By Chacho

Released on July 17, 2020

Thumbnail

[Chorus]

Niko kivela naseti

Nisake Tumedi weekendi

Kama ni besha napenda

Uliza kamithi sitaki mapressure

Hizo zako ziliweza

Ata saidongi inalipwa

Macheda

Kama ni besha ni besha

Ata mafala hushikwa na pressure


[Part 1]

Niko kijaba na fuaka

Dawa ya mwili ni miti

Dawa ya kichwa ni mbichwa

Siwezi iva bila filter

Safisha rada zimeshika

Ata mambleina wahuiva kwa Giza

Jione nugu ulifika

Niheshimu ndugu tu kwa dakika

Shika slasha na mi denga

Mmoja kamiti na mudder

Sikosi Mazishi na nala

Buda ni ngori ni wagwan

Bado si worry nazidi kuearn man

They Always confuse me with man man

Middle fingers to you nigga bad man

See me my nigga you run run


[Chorus]

Niko kivela naseti

Nisake Tumedi weekendi

Kama ni besha napenda

Uliza kamithi sitaki mapressure

Hizo zako ziliweza

Ata saidongi inalipwa

Macheda

Kama ni besha ni besha

Ata mafala hushikwa na pressure


[part 2]

Niko majengo naseti

Kama si vela sipendi

Kejani nipate na mbogi

Ferrari utapata ni spoti

Kuchoki nipate na moshi

Kama si vajo nakula saidongi

Jicho nyanya iliweza

Onasasa tuna vunja recordi

Kama si ngoma ni noma

Kama ni homa ni choma

Kama si cigar ni kush

Jina shada washa choma

Jina kubwa wana bonga

Kuvuta ngale sikuthani umechoma

Chacho play na itoka

Pigwa nyundo, ngumi, tu naitoka


[Chorus]

Niko kivela naseti

Nisake Tumedi weekendi

Kama ni besha napenda

Uliza kamithi sipati mapressure

Hizo zako zili weza

Ata saidongi inalipwa

Macheda

Kama ni besha ni besha

Ata mafala hushikwa na pressure