1 (Cannibal)

Ninapotema verse

Wengi wanaskia utam

All eyes on me utadhani Sean Paul amekam

Shika kalam instrumental ndani ya tabasam

Stand firm madame nakam na wicked slam

So kwa dance floor ndio napatikana

Nashikana na madame mi naminyana

Niko na my crew njoo kama utawezana

Bambana na microphone kupigana

Naleta... tai chi mi najua hata Bruce Lee

Natengeza legend ya wafalme weusi

You better form seat hizi go we bouncing

Una-legalise mpaka slang za matusi

E-yo

Na na na na

E-yo

Na na na na na na na

E-yo

Na na na na

E-yo

Ni Cannibal na Sharama

Cannibal still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Sema ye

Niko matindasi

Bably, Cannibal alika debe la mnazi

Hamna noma tembeza na mboko mazee

Kiutu zima hakuna cha utoto mazee

Basi more kujaza bakaza

Tukunywe mpaka che asiyeweza talaza

Mume nguvuze

More kujaza bakaza

Tukunywe mpaka che asiyeweza talaza

Mume nguvuze

E-yo

Na na na na

E-yo

Na na na na

Zoom zoom zoom

Zabadu zabadu

Rusha mikono juu ucheze ngoma mpaka che

Zoom zoom zoom

Zabadu zabadu

Rusha mikono juu cheza ngoma mpaka che

E-yo

Na na na na

E-yo

Ni Cannibal na Sharama

Cannibal still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

3 (Sharama)

One, two, tunavisha mavitu

Game taenda juu tuko high na moshi wa doom

Leo mpaka kucha, tunajirusha

Hakuna kuzusha

Vichwa vibovu vyote tingisheni vichwa

Na kupenda beat bounce, bounce na beat

Tuko matingasi

Tutizame sote hapa tuko jicho nyanya

Kipeyee, kipeyee bomba

Na kipekeke ndani ya tabasam, yeah

Nadhani nyote mtafaham

Niko na simba gun

Navuruta vuga sauti nije simba gun

Tusuge debe mpaka che sote tusherehekee

Na vinywaji pia beer wee tuwekee

Leo mpaka morning I got game babe

Microphone inavyoleta witness mimi n___

That's how mama anavyokatika

Cannibal still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Sharama still bouncing bouncing

Cannibal still bouncing bouncing