Do Re Mi

By Breeder LW

Thumbnail

[Intro: Benzema]

Wacha nikulambe lambe

Wacha nikukembe kembe mmmh

Kembe kembe mmmh


[Hook: Breeder LW]

Yoh!

Chunga sana na hapa utatekwa mami

Si ati nachocha utatekwa utatii

Ngoma noma niite bazenga dadii

Nafanya vi easy rahisi nanii 

Easy kama Do re mi 

Do re mi, Do re mi, Do re mi 

Easy kama Do re mi 

Do re mi, Do re mi, Do re mi 


[Verse 1: Breeder LW]

A, e, i, o, u

Breeder huwanga badboy tangu class 2

Nikiwa form 2 nilitekana kwa loo

Princi akanipea pano ati nioshe staffu

Jaribu vile utaeza bora usidoz mapema

Alafu after mechi usiweke kithong kwa meza

Keja ni ya mabati basi kelele sitaki

Fimbo jo mzito ata haitoshei kwa khaki

Vile ngoma inachuna, wacha isonge ka romour

Moshi ndani ya medulla, ka si filler sauna

Ka ni ganji mi sina, si nitakuteka tu na lugha

Ka ni sura we huna, jo sijali nitakukumba

Tingiza hiyo tako dogodogo na doido

Landi atinge keja leo nitakuingiza mpaka na diro

Breeder otero wa kenyamo na mastingo

Mi huninyonya sana amenigeuza Viks Kingo


[Hook: Breeder LW]

Chunga sana na hapa utatekwa mami

Si ati nachocha utatekwa utatii

Ngoma noma niite bazenga dadii

Nafanya vi easy rahisi nanii

Easy kama Do re mi 

Do re mi, Do re mi, Do re mi 

Easy kama Do re mi 

Do re mi, Do re mi, Do re mi 


[Verse 2: Benzema]

Nilianza kudinyana nikiwa class 2(Ate what?)

Nilianza kutumia madre F2

Pigia Jetli, pigia Jackie Chan bana

Waambie leo tuna mbogi ya kurombosana

Wacha nikulambe lambe

Wacha nikukembe kembe mmmh

Alejandro morio anzenza

Mara ya kwanza nilitoa kutu ndani ya Vera

69, missionary na whichever

Whatever, however and whenever

Mi ni fisi na sihurumii ata kilema

Ngwati naicheki ndani ya cinema

Najua safe day zako za kalenda

Come come, hebu mwaga tena

Nilikuwa jigalo time za Mandela

Alenjandro zaddy fathela


[Hook: Breeder LW]

Chunga sana na hapa utatekwa mami

Si ati nachocha utatekwa utatii

Ngoma noma niite bazenga dadii

Nafanya vi easy rahisi nanii

Easy kama Do re mi 

Do re mi, Do re mi, Do re mi 

Easy kama Do re mi 

Do re mi, Do re mi, Do re mi   


[Outro: Benzema]

Wacha nikulambe lambe

Wacha nikukembe kembe mmmh

Kembe kembe mmmh

Kembe kembe mmmh