Yeah

Asum nipige hiyo Moto kwanza niwashe hiyo tiri

Then niletee hawa watoto ndio niwape hiyo hadithi

Nilidhani tuko straight kumbe nyi bado mnakula hiyo miti

Usijali ata Samson alipoteza nywele akipeana hiyo miti

Then niliendaga missing ndio nikapate mateachings

Then nikaskianga fununu maze nilidhani bouti nimechizi

Ati bouti hakuanzisha injili ati bouti hafanyagi injili

Buda bouti ndio alikuaga mpishi we ulikuwa msee nilituma iliki

Buda pandisha hiyo Toja ndani najua umevaa kamisi

Unajifanya mzee wa keja na ndani umekaliwa na khalisi

Buda kabonge na kobi kihara mwendelee kuchochana stori za para

Na maplug wanamwadhara kazi ni kupeana tu kwa mambang'a aah

Pitisha hiyo Moto Sasa aaaiii alafu uongeze maji hapa

( Verse 2 )

Yoh eeh

Asum nipige hiyo maji na better make sure ni makali

Buda tulivuka border ndio tukapige waragi

Sai nafikiria bongo Buda nasibongi stori ya nyasi

Nabonga kupanda basi ndio tukapige konyagi

Ju Geri ni Safi Buda ni choice kuwa ngati

Mistari ni Safi Buda nilipewa kipaji

Nusu mita fika hapo ndio tufikishane kipaji

Basi sijafika itabidi umechill mtaani

Ju game naitinga ka ni sex napenda wenye wanaringa

Vile niliipiga alijua mbona nakuaga na sifa

Shawty attached she just might go out and buy me a Benz

Just wanna smash shawty acting like she Vera sidika eey

Squuuad

( Asum Garvey ) ( Verse 1 )

Roach Leta hiyo maji itabidi wakubali

Si ni watu wa matangi watu hawalali kwa kazi

Biz nachapa kambi gang yangu ni wasafi

.... najaza za kazi tunageuza hii kambi

Tumelink magizani Roach rada ni gani

Tuko shrap kariobangi tune imecarry ma highs walai

Sai tu sai nachapa makali sivuti mangwai

Naroga na psyche naleta mavibes za might

You moving in different lanes with I

Anadai me ni vibe lakini sidai mavako za guys

Siku izi ni kubite, ka vile me nado sai

Ndio kupata tu kahype wasee wanaloose their minds

Ndio maana mi nagrind nipate the bandz niflex kwa ndai yah

(Ayee hiyo maji Sasa tuongeze hiyo maji squuuaad )

( Verse 2 )

Roach Leta hiyo Moto itabidi wamesoro

Hakuna Cha let's be friends you come with the money Or we don't pretend ( cash )

Hakuna kuflex my net if you in a net weh fish kwa set

Huwezi switch na the rest unless ukae na vest ni aim

Im out in vegas , nax vegas aint I asum, hii ni a sum of all the outcomes ya the legends im on

Come on, unadai tu kuride on ama tu kuhang on wakupull to Babylon

Songa Songa me na swerve na curve cheki damage large, Bonga Bonga me nacome the boogeyman im the Jason

Gone with the winds flow za wengine siwezi kumention , attention I am garvey cheki the game I own