Deka

By Billnass

Thumbnail

(Its S2kizzy beiby)

Uuuh uuh, yeah Yeaah

Hehe its S2Kizzy zombie sio

Oh nakuvizia tukeshe nasubiria tutete

Nakuvisia tusepe napulizia mtete

Watakususia mkweche nitakuzugia na pete

Si unajua vile mi niko hoi hali tete

Wapo walosema kwamba sipigi show

I wish you know wasikushawishi doo

Na habari zao zakua, sitishi hivyo

Charge empty kila suka yani baterry low

Aah leo una vibe tukrefresh place

Mi mgonjwa we tabibu

Njo unitibu one stress nice

Nitakuwa mjinga niki mess mess

Ulikua nami toka sina kitu

Enzi napiga deshi deshi

Mi sijaambiwa nikwambie

Ila moyo utani-tetereka

Ukiwa mbali na miе

Upweke uta nitetеmesha

Furaha yako niachie

Iii kwa mikono salama deka mmh

Utakacho niambie oooh baby

Tekma tekma deka

Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu)

Tekma tekma deka

Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu)

Aaah don't let them fool you (Fool you)

Kisa umenipenda mimi huyu (Huyu)

Mapenzi ya dhati na hisia ulikwa nayo toka kitambo

Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango

Since day one niko na plan kichwani

Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani

Wife si utani wife waku vibe kanisani

Sio yule wife wa Stamina alisepa nyumbani

Mapenzi ni yetu yetu

Na sisi kiviyetu vyetu

Yani kama Chuga

Baridi yetu yetu

Mi sijaambiwa nikwambie

Ila moyo utani-tetereka

Ukiwa mbali na mie

Upweke uta nitetemesha

Furaha yako niachie

Iii kwa mikono salama deka mmh

Utakacho niambie oooh baby

Tekma tekma deka

Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu)

Tekma tekma deka

Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu)

Oooh ooh

Deka ukiwa na mimi tu

Oooh ooh

Deka ukiwa na mimi tu

(The Mix Killer)