Mama

By Bahati

Thumbnail

Bahati Bahati Tena Flame International

Mwanabuja Wee

Mi Naimbia Mama, Mi Nasifu Mama, Mama

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Nipe tu dakika Keti Chini Nikuambie

Nachukua hii fursa Mama Wacha Nikuimbie

Nipe tu dakika Keti Chini Nikuambie

Nachukua hii fursa Na Dunia Isikie

Miezi Tisa Ndani Yako Kanibeba Uchovu

Na Miaka Tisa Kando Yako Ukinitoa Uovu

(Mama)

Miezi Tisa Ndani Yako Kanibeba Uchovu

Na Miaka Tisa Kando Yako Ukinitoa Uovu

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Uuu Utovu Wa Nidhamu Ndani Yangu Ukaupiga

Na Ndoto Za Utotoni Ukanipa Motisha

(Mama)

Utovu Wa Nidhamu Ndani Yangu Ukaupiga

Na Ndoto Za Utotoni Ukanipa Motisha

Mwanangu Unaweza Lolote Ukijikaza utafika popote

Mwana, Unaweza Lolote Maono Mengi Ulifanya Niote

Mwanangu Unaweza Lolote Ukijikaza utafika popote

Mwana Unaweza Lolote Maono Mengi Ulifanya Niote

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Ulijinyima Nipate Wee, Hukutaka Nikose ee

Ulijinyima Nipate (Mama), Hukutaka Nikose ee

Ulijinyima Nipate (Mama), Hukutaka Nikose

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama

Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana

End

Iiii Mama, Nakupenda Mama

Asante Mama RIP Love Yah!!