Diana

By Bahati

Thumbnail

Niko vitani na moyo baby

Zaidi ya yote kumbuka jana

Unasonga, mi nasonga

Moyo unakataa. Ah!

Kinachonitia wasi wasi

Ni cha kuwaambia kanisani

Na sijafeli

Nina imani moyoni

Ulivyobeba virago vyako

Kanisahau mie

Na ukambeba mwanangu

Amwite nani dady

Diana (Diana)

Diana (Diana, Diana)

Wangu Diana (Diana, Diana)

Nisikize Diana (Diana, Diana)

Ina maana huoni uchungu napitiaa

Naikimbia shida nilikotoka unajuaa

Naogopa, naogopa

Hunnie naogopa

Ninavyo umia bidii kwa kazi

Mbona unaondoka

Nakupenda sana

Nishawaambia mashabiki na baba

Akulinde sana

Baado nakusubire

Ulivyobeba virago vyako

Kanisahau mie

Na ukambeba mwanangu

Amwite nani dady

Diana (Diana)

Diana (Diana)

Wangu Diana (Diana)

Nisikize Diana (Diana, Diana)

Ina maana huoni uchungu napitiaa

Naikimbia shida nilikotoka unajuaa

Diana (Diana)

Diana (Diana)

Diana, Diana...

Diana, Diana...

Shallzbaro

Ulivyobeba virago vyako

Kanisahau mie

Naukambeba mwanangu

Amwite nani dady