Aiii yeza, aaiii yeza

Aiii yeza

Angry Panda under Mikey

Tapo tapo tapo

Ka hayuko rada apigwe tapo 

Ni mtu wako wangu wa kando

Ukilalisha bana napita nako

Akijilegeza unapiga tapo

Unakapoteza unapiga tapo

Ukishateleza unapiga tapo

Ati form tu ni tapo tapo tapo

Nateleza kwa beat utadhani konokono

Ye ni ka shabiki vile anatupa mikono

Anashangilia ni ka ameshinda lotto

Ati mi ni wake ala hio ni ndoto

Kam nikushow vile jo si hufanya

Hadi ukiniroga bado nitakuhanya

Ukishaanika nakuja nakumanya

Nauma napuliza najifanya kama panya

Ye hupiga nduru manze ka scoobydoo

Ashachanganyikiwa anadance skelewu

Physically fit anabend ka bamboo

Mi ndio nyuki napeana utamu

Ka ni wako utabaki umeteta

Nitacheza na hiyo mwili ka dictator

Utabaki umeshtuka Gai Fafa

Pewa kitu tetema kama kifafa

Tapo tapo tapo

Ka hayuko rada apigwe tapo 

Ni mtu wako wangu wa kando

Ukilalisha bana napita nako

Akijilegeza unapiga tapo

Unakapoteza unapiga tapo

Ukishateleza unapiga tapo

Ati form tu ni tapo tapo tapo

Ati, shikilia mali yako

Kaa rada naweza pita naye

Ju zikishika naeza shuka naye

Na tutaenda home nitamsuka atanipee 

Pole pole tukiset 

Tumekuja na ubaya ona vumbi kasee 

Na watachora saba ju beat sio lame

Next time kaa rada ju si ndo kusay

Angry Panda ndio name 

Vile si huwapanda utadhani tunadate

Kacheze na matope hii game ni ya kizee

Upende usipende huwezi kuwa mi

Ah songa mbali na mi

Ju ukikam sana itakuwa ngori daddy

Ting a ling a ling ni za hit track ting

17B Kasarani straight outta

Tapo tapo tapo

Ka hayuko rada apigwe tapo 

Ni mtu wako wangu wa kando

Ukilalisha bana napita nako

Akijilegeza unapiga tapo

Unakapoteza unapiga tapo

Ukishateleza unapiga tapo

Ati form tu ni tapo tapo tapo

Anakata ni ka anataka

Ju enyewe kameiva ni kasupa ni ka Yeza

Yeza Mi stambui ka mvuvi namvua vua

Ukidai ni kwa kiti ama meza meza

Nakapeleka mbanyu tunaanza kuzitoka

Ju nimeomoka lazima kumochoka

Kanapiga magoti ni ka kameokoka

Daktari mitishamba nakatibu nyoka

Na mi siwezi kubali kukataa

Ukikam thru' nikurollie kindom

Niku njing’ njeng’ njuu

Ukicover the face, me nafire the base

Haaa, masaa ni ya waitane

Ile time niko jing' me nafeel kama king

Hakuna cha udoctor mi ndio Ring Ding

Kadem kanasukwa anaringa anatepwa 

Anajipa anatekwa anaseswa anatokwa

Anatekwa anaseswa anatokwa  

Tapo tapo tapo

Ka hayuko rada apigwe tapo 

Ni mtu wako wangu wa kando

Ukilalisha bana napita nako

Akijilegeza unapiga tapo

Unakapoteza unapiga tapo

Ukishateleza unapiga tapo

Ati form tu ni tapo tapo tapo