Released on June 1, 2006

Thumbnail

[Intro]

Yeah... B.O.B Shorobaro

Oh haha (Yeah) oh yeah


[Verse 1 : Bob Junior & Ranny]

Nakuomba unanitosa wakati mimi sina kosa

Elewa unanichosha, mamlaka nitoe posa

Bila wewe siwezi uhai wa kazi gani

Sina hali ya uzima, come on, rudi nyumbani

Angalia mwenzako natokwa machozi ya damu

Unanikatalia sababu mimi sio handsome

Namiss utundu wako na miss pozi zako

Na miss vitu vingi kwangu hakuna zaidi yako

Mummie uh nilikupa ngazi ya juu

Nilifahamu utatesa moyo wangu

Majukumu nilishachoka kwako vikopa-kopa

Njoo unipe mapenzi hah si unaogopa-ogopa


[Chorus : Alikiba]

Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio

Sana nimevumilia aaah

Nielewe mummy njoo

Ukiniona nalia

Naumia wangu moyo

Na baridi naumia aah

Nipe joto mummy njoo

Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio

Sana nimevumilia aaah

Nielewe mummy njoo

Ukiniona nalia

Naumia wangu moyo

Na baridi naumia aah

Nipe joto mummy njoo


[Verse 2 : Alikiba]

Nikizungumzia mapenzi alright

Nimzungumzia shetani wa mahaba

Asiyependa kumuona Alikiba

Akiwa nawe milele mpaka kufa

Lakini sikuonii hii

Mimi nakutafuta mji mzima

Nakutafuta hewani

Nikipiga simu yako unazima


[Pre Chorus : Alikiba]

Where are you mummy njoo?

Nikudalike kidali poh

Wasaka mmerahaa

Basi njoo tucheze kombolela

Wananicheka everyday nalia

Hawajua ninacholilia

Wanasema una hirizi ya haula

Wananichek nikilia wacha nilieee


[Chorus : Alikiba]

Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio

Sana nimevumilia aaah

Nielewe mummy njoo

Ukiniona nalia

Naumia wangu moyo

Na baridi naumia aah

Nipe joto mummy njoo

Alikiba mi nalia aah sikuoni mwenzio

Sana nimevumilia aaah

Nielewe mummy njoo

Ukiniona nalia aah

Naumia wangu moyo

Na baridi naumia aah

Nipe joto mummy njoo


[Verse 3 : Alikiba]

Ni mazingira mengi wajua

Ninavyohangaika na jua

Kali la mchana lachoma

Akili yangu yote ishanoa

Ni kweli ukizungumzia mapenzi alright

Wazungumzia shetani wa mahaba

Ila kwa penzi lako walilinda

The way unavyofanya unaringa

Lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima

Nakutafuta hewani nikipiga simu yako umezima


[Pre Chorus : Alikiba]

Where are you mummy njoo?

Nikudalike kidali poh

Wasaka mmerahaa

Basi njoo tucheze kombolela


[Chorus]

Alikiba mi nalia

Alikiba mi nalia

Sikuoni mwenzio

Sana nimevumilia

Nielewe mummy njoo oh, oh


[Outro]

Sikuoni mwenzio

Alikiba, B.O.B, Shorobaro