Released on October 3, 2025

Thumbnail

[Verse 1]

Chunga sana apa unaeza ganda

Steam zinarushwa ata kaa

Zimepanda

Black and white tunamove

Kama panda

Watch your mouth

Bro apa unaeza blanda


[Hook]

Rusha ka unaeza rusha

Na kama uezi rusha

Apa unaeza rushwa

Apa unaeza rushwa


[Verse 2]

Ka ni flow me na switch

One Hunna

One of One tushazoza sana

On the low tunakeep undercover

Nlikua nmeficha

But nablow iyo cover

Flow ni ya breeder na

Naosha hawa banii

Jokes on them

Wahamishwe uko Cani


[Verse 3]

Wana beef na who?

Beef na nani?

Beef na you

Na najua auna habarii


[Hook]

Na si warusheee

Ka wanaeza rushaaa

Nakama hawawezi apa wanaeza rushwa

Nakama hawawezi apa wanaeza rushwa


[Verse 4]

Nimecarry ma bars ka Dt Dobie

Super fly naeza throw kaa kobe

Hawana cooopy

Block natoka ntaawachia iyo notice

Washanitea ka jaba na koffee

Raise a toast na mpige makofi